Genesis 26:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
naye akatajirika. Alizidi kupata mali hadi akawa tajiri sana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isaka akawa tajiri, nayo mali yake ikaendelea kuongezeka hata akawa tajiri sana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mtu huyu akawa mkuu, akazidi kusitawi, hata akawa mkuu sana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
naye akatajirika. Alizidi kupata mali hadi akawa tajiri sana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Isaki akawa tajiri, mali zake zikaendelea kuongezeka mpaka akawa tajiri sana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isaka akawa tajiri, mali zake zikaendelea kuongezeka mpaka akawa tajiri sana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mtu huyu akawa mkuu, akazidi kusitawi, hata akawa mkuu sana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
naye akatajirika. Alizidi kupata mali hadi akawa tajiri sana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawa mtu mkuu, akaendelea vivyo hivyo kuwa mkuu, mpaka akiwa mkuu kabisa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mtu huyu akawa mkuu, akazidi kusitawi, hata akawa mkuu sana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
naye akatajirika. Alizidi kupata mali mpaka akakuwa tajiri sana.