Genesis 26:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alikuwa na makundi ya kondoo, ng'ombe na watumwa wengi, hata Wafilisti wakamwonea wivu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akawa na mifugo ya kondoo na ng’ombe, na watumishi wengi sana, kiasi kwamba Wafilisti wakamwonea wivu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawa na mali ya kondoo, na mali ya ng'ombe, na watumwa wengi. Hao Wafilisti wakamhusudu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alikuwa na makundi ya kondoo, ng'ombe na watumwa wengi, hata Wafilisti wakamwonea wivu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akawa na kondoo, ng'ombe na watumishi wengi sana kiasi kwamba Wafilisti wakamwonea wivu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akawa na mifugo ya kondoo na ng’ombe, na watumishi wengi sana, kiasi kwamba Wafilisti wakamwonea wivu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawa na mali ya kondoo, na mali ya ng'ombe, na watumwa wengi. Hao Wafilisti wakamhusudu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alikuwa na makundi ya kondoo, ng'ombe na watumwa wengi, hata Wafilisti wakamwonea wivu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawa na makundi ya mbuzi na kondoo, nayo makundi ya ng'ombe, nao watumwa wengi, kwa hiyo Wafilisti wakamwonea wivu;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawa na mali ya kondoo, na mali ya ng’ombe, na watumwa wengi. Hao Wafilisti wakamhusudu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alikuwa na makundi ya kondoo, ngombe na watumwa wengi. Kwa hiyo, Wafilistini wakamwonea wivu.