Genesis 26:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wafilisti walikuwa wamevifukia visima vyote vya maji ambavyo watumishi wa Abrahamu, baba yake, walikuwa wamechimba wakati alipokuwa bado hai.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo visima vyote vilivyochimbwa na watumishi wakati wa Ibrahimu baba yake, Wafilisti wakavifukia, wakavijaza udongo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na vile visima vyote walivyochimba watumwa wa baba yake, siku za Ibrahimu babaye, Wafilisti walikuwa wamevifukia, wakavijaza kifusi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wafilisti walikuwa wamevifukia visima vyote vya maji ambavyo watumishi wa Abrahamu, baba yake, walikuwa wamechimba wakati alipokuwa bado hai.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo visima vyote vilivyochimbwa na watumishi wakati wa Abrahamu baba yake, Wafilisti wakavifukia wakavijaza udongo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo visima vyote vilivyochimbwa na watumishi wakati wa Ibrahimu baba yake, Wafilisti wakavifukia, wakavijaza udongo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na vile visima vyote walivyochimba watumwa wa baba yake, siku za Abrahamu babaye, Wafilisti walikuwa wamevifukia, wakavijaza udongo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wafilisti walikuwa wamevifukia visima vyote vya maji ambavyo watumishi wa Abrahamu, baba yake, walikuwa wamechimba wakati alipokuwa bado hai.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
navyo visima vyote, watumwa wa baba yake walivyovichimbua siku za baba yake Aburahamu, Wafisiti walikuwa wameviziba na kuvijaza mchanga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na vile visima vyote walivyochimba watumwa wa baba yake, siku za Ibrahimu babaye, Wafilisti walikuwa wamevifukia, wakavijaza kifusi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakaziba visima vyote vya maji ambavyo watumishi wa baba yake Abrahamu walikuwa wamechimba wakati alipokuwa muzima.