Genesis 26:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Isaka akaondoka huko, akapiga kambi yake katika bonde la Gerari, akakaa huko.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Isaka akatoka huko, akajenga kambi katika Bonde la Gerari, akaishi huko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Isaka akatoka huko akapiga kambi katika bonde la Gerari, akakaa huko.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Isaka akaondoka huko, akapiga kambi yake katika bonde la Gerari, akakaa huko.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Isaki akatoka huko akajenga kambi katika Bonde la Gerari, akaishi huko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Isaka akatoka huko akajenga kambi katika Bonde la Gerari, akaishi huko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Isaka akatoka huko akapiga kambi katika bonde la Gerari, akakaa huko.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Isaka akaondoka huko, akapiga kambi yake katika bonde la Gerari, akakaa huko.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, Isaka akatoka huko, akapiga kambi katika bonde la Gerari, akakaa huko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Isaka akatoka huko akapiga kambi katika bonde la Gerari, akakaa huko.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Isaka akaondoka kule, akapiga kambi yake katika bonde la Gerari, akakaa kule.