Genesis 26:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini watumishi wa Isaka walipochimba katika lile bonde na kupata kisima cha maji yanayobubujika,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watumishi wa Isaka wakachimba katika lile bonde, wakagundua huko kisima chenye maji safi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watumwa wa Isaka wakachimba katika lile bonde, wakapata kisima cha maji yanayobubujika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini watumishi wa Isaka walipochimba katika lile bonde na kupata kisima cha maji yanayobubujika,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watumishi wa Isaki wakachimba katika lile bonde wakagundua huko kisima chenye maji safi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watumishi wa Isaka wakachimba katika lile bonde wakagundua huko kisima chenye maji safi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watumwa wa Isaka wakachimba katika lile bonde, wakapata kisima cha maji yanayobubujika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini watumishi wa Isaka walipochimba katika lile bonde na kupata kisima cha maji yanayobubujika,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Namo mle bondeni, watumwa wa Isaka walipochimba maji, wakapata kisima chenye maji yarukayo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watumwa wa Isaka wakachimba katika lile bonde, wakapata kisima cha maji yanayobubujika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini watumishi wa Isaka walipochimba katika lile bonde na kupata kisima cha maji yanayobubujika,