Genesis 26:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu akamtokea Isaka na kumwambia, “Usiende Misri, bali kaa katika nchi nitakayokuambia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu akamtokea Isaka, akamwambia, “Usiende Misri, bali ukae katika nchi nitakayokuambia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana akamtokea, akasema, Usishuke kwenda Misri, kaa katika nchi nitakayokuambia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu akamtokea Isaka na kumwambia, “Usiende Misri, bali kaa katika nchi nitakayokuambia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA akamtokea Isaki, akamwambia, “Usiende Misri, bali ukae katika nchi nitakayokuambia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana akamtokea Isaka, akamwambia, “Usiende Misri, bali ukae katika nchi nitakayokuambia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA akamtokea, akasema, Usishuke kwenda Misri, kaa katika nchi nitakayokuambia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu akamtokea Isaka na kumwambia, “Usiende Misri, bali kaa katika nchi nitakayokuambia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndiko, Bwana alikomtokea na kumwambia: Usitelemke kwenda Misri! Kaa katika nchi, nitakayokuambia!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA akamtokea, akasema, Usishuke kwenda Misri, kaa katika nchi nitakayokuambia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe akamutokea Isaka na kumwambia: “Usiende Misri, lakini ukae katika inchi nitakayokuambia.