Genesis 26:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wachungaji wa hapo Gerari wakagombana na wachungaji wa Isaka wakisema, “Maji haya ni yetu.” Hivyo Isaka akakiita kisima hicho Eseki, kwa sababu waligombana naye.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini wachungaji wa Gerari wakagombana na wachungaji wa Isaka wakisema, “Maji haya ni yetu!” Ndipo akakiita kile kisima Eseki, kwa sababu waligombana naye.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wachungaji wa Gerari wakagombana na wachungaji wa Isaka wakisema, Maji haya ni yetu. Ndipo akakiita jina la kile kisima Eseki, kwa sababu waligombana naye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wachungaji wa hapo Gerari wakagombana na wachungaji wa Isaka wakisema, “Maji haya ni yetu.” Hivyo Isaka akakiita kisima hicho Eseki, kwa sababu waligombana naye.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini wachungaji wa Gerari wakagombana na wachungaji wa Isaki wakisema, “Maji haya ni yetu!” Ndipo akakiita kile kisima Eseki, kwa sababu waligombana naye.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini wachungaji wa Gerari wakagombana na wachungaji wa Isaka wakisema, “Maji haya ni yetu!” Ndipo akakiita kile kisima Eseki, kwa sababu waligombana naye.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wachungaji wa Gerari wakagombana na wachungaji wa Isaka wakisema, Maji haya ni yetu. Ndipo akakiita jina la kile kisima Eseki, kwa sababu waligombana naye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wachungaji wa hapo Gerari wakagombana na wachungaji wa Isaka wakisema, “Maji haya ni yetu.” Hivyo Isaka akakiita kisima hicho Eseki, kwa sababu waligombana naye.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wachungaji wa Gerari wakagombana nao wachungaji wa Isaka kwamba: Maji ni yetu! Ndipo, alipokiita hicho kisima jina lake Eseki (Ukorofi), kwa kuwa walimkorofisha huko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wachungaji wa Gerari wakagombana na wachungaji wa Isaka wakisema, Maji haya ni yetu. Ndipo akakiita jina la kile kisima Eseki, kwa sababu waligombana naye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wachungaji wa pale Gerari wakagombana na wachungaji wa Isaka wakisema: “Maji haya ni yetu.” Hivyo Isaka akakiita kisima hicho “Ugomvi” kwa sababu waligombana naye.