Genesis 26:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Halafu wakachimba kisima kingine, nacho pia wakakigombania; hivyo Isaka akakiita kisima hicho Sitna.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha wakachimba kisima kingine, lakini hata hicho pia wakakigombania; akakiita Sitna.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakachimba kisima kingine, wakagombania na hicho tena. Akakiita jina lake Sitna.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Halafu wakachimba kisima kingine, nacho pia wakakigombania; hivyo Isaka akakiita kisima hicho Sitna.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha wakachimba kisima kingine, lakini hata hicho pia wakakigombania, akakiita Sitna.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha wakachimba kisima kingine, lakini hata hicho pia wakakigombania, akakiita Sitna.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakachimba kisima kingine, wakagombania na hicho tena. Akakiita jina lake Sitna.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Halafu wakachimba kisima kingine, nacho pia wakakigombania; hivyo Isaka akakiita kisima hicho Sitna.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipochimbua kisima kingine, wakagombana nao hata kwa ajili yake hicho, akakiita jina lake Sitina (Upingani).
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakachimba kisima kingine, wakagombania na hicho tena. Akakiita jina lake Sitna.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu wakachimba kisima kingine, nacho vilevile wakakigombania; hivyo Isaka akakiita kisima hicho “Fitina”.