Genesis 26:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo, Isaka akajenga huko madhabahu, akamwabudu Mwenyezi-Mungu. Akapiga kambi huko; na watumishi wake wakachimba kisima.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isaka akajenga madhabahu huko, akaliitia jina la Mwenyezi Mungu. Akapiga hema lake huko, nao watumishi wake wakachimba kisima.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akajenga madhabahu huko, akaliitia jina la Bwana. Akapiga hema yake huko, na watumwa wa Isaka wakachimba kisima huko.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo, Isaka akajenga huko madhabahu, akamwabudu Mwenyezi-Mungu. Akapiga kambi huko; na watumishi wake wakachimba kisima.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Isaki akajenga madhabahu huko, akaliitia jina la BWANA. Akapiga hema lake huko, nao watumishi wake wakachimba kisima.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isaka akajenga madhabahu huko, akaliitia jina la bwana. Akapiga hema lake huko, nao watumishi wake wakachimba kisima.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akajenga madhabahu huko, akaliitia jina la BWANA. Akapiga hema yake huko, na watumwa wa Isaka wakachimba kisima huko.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo, Isaka akajenga huko madhabahu, akamwabudu Mwenyezi-Mungu. Akapiga kambi huko; na watumishi wake wakachimba kisima.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Isaka alipojenga huko pa kutambikia, akalitambikia Jina la Bwana, akalipiga hema lake huko, nao watumwa wake Isaka wakachimbua huko kisima.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akajenga madhabahu huko, akaliitia jina la BWANA. Akapiga hema yake huko, na watumwa wa Isaka wakachimba kisima huko.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo, Isaka akajenga mazabahu kule na kumwabudu Yawe. Akapiga kambi kule, na watumishi wake wakachimba kisima.