Genesis 26:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Isaka akawauliza, “Kwa nini mmekuja kwangu hali mnanichukia na mlinifukuza kwenu?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isaka akawauliza, “Mbona mmekuja kwangu, na ninyi mlinichukia na kunifukuza?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Isaka akawauliza, Mbona mwanijia, nanyi mmenichukia, mkanifukuza kwenu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Isaka akawauliza, “Kwa nini mmekuja kwangu hali mnanichukia na mlinifukuza kwenu?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Isaki akawauliza, “Mbona mmekuja kwangu na ninyi mlinichukia na kunifukuza?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isaka akawauliza, “Mbona mmekuja kwangu na ninyi mlinichukia na kunifukuza?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Isaka akawauliza, Mbona mwanijia, nanyi mmenichukia, mkanifukuza kwenu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Isaka akawauliza, “Kwa nini mmekuja kwangu hali mnanichukia na mlinifukuza kwenu?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Isaka akawauliza: Kwa nini mmekuja kwangu ninyi mnaonichukia, mkanifukuza kwenu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Isaka akawauliza, Mbona mwanijia, nanyi mmenichukia, mkanifukuza kwenu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Isaka akawauliza: “Kwa nini mumekuja kwangu ijapokuwa munanichukia na mulinifukuza kwenu?”