Genesis 26:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kwamba hutatudhuru, nasi kadhalika hatutakudhuru. Tulikutendea mema, tukakuacha uende zako kwa amani, bila kukutendea baya lolote lile. Na sasa wewe ni mbarikiwa wa Mwenyezi-Mungu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwamba hutatudhuru, kama vile nasi hatukuwanyanyasa bali tuliwatendea mema wakati wote, na tukawaaga kwa amani. Tena sasa umebarikiwa na Mwenyezi Mungu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ya kuwa hutatutenda mabaya, iwapo sisi hatukukugusa wewe, wala hatukukutendea ila mema, tukakuacha uende zako kwa amani; nawe sasa u mbarikiwa wa Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kwamba hutatudhuru, nasi kadhalika hatutakudhuru. Tulikutendea mema, tukakuacha uende zako kwa amani, bila kukutendea baya lolote lile. Na sasa wewe ni mbarikiwa wa Mwenyezi-Mungu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwamba hutatudhuru, kama jinsi nasi hatukuwanyanyasa bali tuliwatendea mema wakati wote na kuwaondoa kwetu kwa amani. Tena sasa umebarikiwa na BWANA.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwamba hutatudhuru, kama jinsi nasi hatukuwanyanyasa bali tuliwatendea mema wakati wote na kuwaondoa kwetu kwa amani. Tena sasa umebarikiwa na bwana.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ya kuwa hutatutenda mabaya, iwapo sisi hatukukugusa wewe, wala hatukukutendea ila mema, tukakuacha uende zako kwa amani; nawe sasa u mbarikiwa wa BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kwamba hutatudhuru, nasi kadhalika hatutakudhuru. Tulikutendea mema, tukakuacha uende zako kwa amani, bila kukutendea baya lolote lile. Na sasa wewe ni mbarikiwa wa Mwenyezi-Mungu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usitufanyie mabaya, kama sisi tusivyokugusa, kama sisi tulivyokufanyia mema tu, tukakuacha, uende zako na kutengemana. Nawe sasa umebarikiwa hivyo na Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ya kuwa hutatutenda mabaya, iwapo sisi hatukukugusa wewe, wala hatukukutendea ila mema, tukakuacha uende zako kwa amani; nawe sasa u mbarikiwa wa BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kwamba hautatuzuru, nasi vilevile hatutakuzuru. Tulikutendea tu vizuri, tukakuacha uende kwa amani, bila kukutendea ubaya wowote. Na sasa wewe ni mubarikiwa wa Yawe.”