Genesis 26:34 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Esau alipokuwa na umri wa miaka arubaini, alioa wake wawili Wahiti: Yudithi bintiye Beeri, na Basemathi bintiye Eloni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Esau alipokuwa na umri wa miaka arobaini, akamwoa Yudithi binti Beeri Mhiti, kisha akamwoa Basemathi binti Eloni Mhiti.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Esau alipokuwa mwenye miaka arobaini, akamwoa Yudithi, binti Beeri, Mhiti, na Basemathi, binti Eloni, Mhiti.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Esau alipokuwa na umri wa miaka arubaini, alioa wake wawili Wahiti: Yudithi bintiye Beeri, na Basemathi bintiye Eloni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Esau alipokuwa na umri wa miaka arobaini, akamwoa Yudithi binti Beeri Mhiti, kisha akamwoa Basemathi binti Eloni Mhiti.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Esau alipokuwa na umri wa miaka arobaini, akamwoa Yudithi binti Beeri Mhiti, kisha akamwoa Basemathi binti Eloni Mhiti.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Esau alipokuwa mwenye miaka arobaini, akamwoa Yudaithi, binti Beeri, Mhiti, na Basemathi, binti Eloni, Mhiti.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Esau alipokuwa na umri wa miaka arubaini, alioa wake wawili Wahiti: Yudithi bintiye Beeri, na Basemathi bintiye Eloni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Esau alipokuwa mwenye miaka 40 akamwoa Yuditi, binti Mhiti Beri; kisha naye Basimati, binti Mhiti Eloni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Esau alipokuwa mwenye miaka arobaini, akamwoa Yudithi, binti Beeri, Mhiti, na Basemathi, binti Eloni, Mhiti.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Esau alipokuwa na umri wa miaka makumi ine, akaoa wake wawili Wahiti: Yuditi binti ya Beri na Basemati binti ya Eloni.