Genesis 26:35 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanawake hao waliyafanya maisha ya Isaka na Rebeka kuwa machungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hawa walikuwa chanzo cha huzuni kwa Isaka na Rebeka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Roho zao Isaka na Rebeka zikajaa uchungu kwa ajili yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanawake hao waliyafanya maisha ya Isaka na Rebeka kuwa machungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hawa walikuwa chanzo cha huzuni ya Isaki na Rebeka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hawa walikuwa chanzo cha huzuni ya Isaka na Rebeka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Roho zao Isaka na Rebeka zikajaa uchungu kwa ajili yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanawake hao waliyafanya maisha ya Isaka na Rebeka kuwa machungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wote wawili wakamtia Isaka naye Rebeka uchungu mwingi rohoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Roho zao Isaka na Rebeka zikajaa uchungu kwa ajili yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanawake hao walifanya maisha ya Isaka na Rebeka kuwa machungu.