Genesis 26:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitawazidisha wazawa wako wawe kama nyota za mbinguni na kuwapa nchi hizi zote. Kutokana na wazawa wako, mataifa yote duniani yatabarikiwa,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitafanya wazao wako kuwa wengi kama nyota za angani, nami nitawapa nchi hizi zote, na kupitia uzao wako mataifa yote yatabarikiwa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitazidisha uzao wako kama nyota za mbinguni, nami nitawapa uzao wako nchi hizi zote, na katika uzao wako mataifa yote ya dunia watajibarikia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitawazidisha wazawa wako wawe kama nyota za mbinguni na kuwapa nchi hizi zote. Kutokana na wazawa wako, mataifa yote duniani yatabarikiwa,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitafanya wazao wako kuwa wengi kama nyota za angani, nami nitawapa nchi hizi zote na kutokana na uzao wako mataifa yote yatabarikiwa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitafanya wazao wako kuwa wengi kama nyota za angani, nami nitawapa nchi hizi zote na kutokana na uzao wako mataifa yote yatabarikiwa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitazidisha uzao wako kama nyota za mbinguni, nami nitawapa uzao wako nchi hizi zote, na katika uzao wako mataifa yote ya dunia watajibarikia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitawazidisha wazawa wako wawe kama nyota za mbinguni na kuwapa nchi hizi zote. Kutokana na wazawa wako, mataifa yote duniani yatabarikiwa,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitawafanya wao wa uzao wako kuwa wengi kama nyota za mbinguni, nazo nchi hizi zote nitawapa wao wa uzao wako, namo katika uazo wako ndimo, mataifa yote ya nchini yatakamobarikiwa,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitazidisha uzao wako kama nyota za mbinguni, nami nitawapa uzao wako nchi hizi zote, na katika uzao wako mataifa yote ya dunia watajibarikia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitawazidisha wazao wako wakuwe kama nyota za mbinguni na kuwapa inchi hizi zote. Kutokana na wazao wako, mataifa yote katika dunia yatabarikiwa,