Genesis 27:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Yakobo akamwambia mama yake Rebeka, “Kumbuka kaka yangu Esau amejaa nywele mwilini, hali mimi sina.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yakobo akamwambia Rebeka mama yake, “Lakini ndugu yangu Esau ana nywele mwilini, nami nina ngozi nyororo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yakobo akamwambia Rebeka mamaye, Esau ndugu yangu ni mtu mwenye malaika, na mimi ni mtu laini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Yakobo akamwambia mama yake Rebeka, “Kumbuka kaka yangu Esau amejaa nywele mwilini, hali mimi sina.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yakobo akamwambia Rebeka mama yake, “Lakini ndugu yangu Esau ana nywele mwilini, mimi nina ngozi nyororo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yakobo akamwambia Rebeka mama yake, “Lakini ndugu yangu Esau ana nywele mwilini, mimi nina ngozi nyororo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yakobo akamwambia Rebeka mamaye, Esau ndugu yangu ni mtu mwenye malaika, na mimi ni mtu laini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Yakobo akamwambia mama yake Rebeka, “Kumbuka kaka yangu Esau amejaa nywele mwilini, hali mimi sina.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Yakobo akamwambia mama yake Rebeka: Tazama, kaka yangu Esau ni mwenye manyoya, lakini mimi sinayo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yakobo akamwambia Rebeka mamaye, Esau ndugu yangu ni mtu mwenye malaika, na mimi ni mtu laini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Yakobo akamwambia mama yake Rebeka: “Kumbuka kaka yangu Esau amejaa nywele juu ya mwili, lakini mimi sina.