Genesis 27:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Labda baba atataka kunipapasa, nami nitaonekana kama ninamdhihaki, kwa hiyo nitajiletea laana badala ya baraka.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Itakuwaje baba yangu akinigusa? Ataona kama ninamfanyia ujanja, nami nijiletee laana badala ya baraka.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Labda baba yangu atanipapasa, nami nitakuwa machoni pake kama mdanganyifu; nami nitaleta juu yangu laana wala si mbaraka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Labda baba atataka kunipapasa, nami nitaonekana kama ninamdhihaki, kwa hiyo nitajiletea laana badala ya baraka.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Itakuwaje kama baba yangu akinigusa? Itaonekana kwake kama niliyemfanyia ujanja na kuleta laana juu yangu badala ya baraka.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Itakuwaje kama baba yangu akinigusa? Itaonekana kwake kama niliyemfanyia ujanja na kuleta laana juu yangu badala ya baraka.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Labda baba yangu atanipapasa, nami nitakuwa machoni pake kama mdanganyifu; nami nitaleta juu yangu laana wala si baraka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Labda baba atataka kunipapasa, nami nitaonekana kama ninamdhihaki, kwa hiyo nitajiletea laana badala ya baraka.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Labda baba atanipapasa; ndipo, nitakapokuwa kama mdanganyifu machoni pake; hivyo nitajipatia maapizo, sio mbaraka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Labda baba yangu atanipapasa, nami nitakuwa machoni pake kama mdanganyifu; nami nitaleta juu yangu laana wala si mbaraka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Labda baba atataka kunipapasa, nami nitaonekana kama mudanganyifu, kwa hiyo nitajiletea laana pahali pa baraka.”