Genesis 27:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mama yake akamwambia, “Laana yako na inipate mimi, mwanangu; wewe fanya ninavyokuagiza: Nenda ukaniletee hao wanambuzi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mama yake akamwambia, “Mwanangu, laana na iwe juu yangu. Fanya tu ninalokuambia: nenda ukaniletee hao wana-mbuzi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mamaye akamwambia, Laana yako na iwe juu yangu, mwanangu, usikie sauti yangu tu, enenda ukaniletee wana-mbuzi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mama yake akamwambia, “Laana yako na inipate mimi, mwanangu; wewe fanya ninavyokuagiza: nenda ukaniletee hao wanambuzi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mama yake akamwambia, “Mwanangu, laana na iwe juu yangu. Fanya tu ninalokuambia, nenda ukaniletee hao wana-mbuzi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mama yake akamwambia, “Mwanangu, laana na iwe juu yangu. Fanya tu ninalokuambia, nenda ukaniletee hao wana-mbuzi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mamaye akamwambia, Laana yako na iwe juu yangu, mwanangu, usikie sauti yangu tu, nenda ukaniletee wana-mbuzi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mama yake akamwambia, “Laana yako na inipate mimi, mwanangu; wewe fanya ninavyokuagiza: Nenda ukaniletee hao wanambuzi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye mama yake akamwambia: Maapizo yako na yanijie mimi, mwanangu! Isikie tu sauti yangu, uende kunichukulia wana wa mbuzi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mamaye akamwambia, Laana yako na iwe juu yangu, mwanangu, usikie sauti yangu tu, enenda ukaniletee wana-mbuzi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mama yake akamwambia: “Laana yako inipate mimi, mwana wangu; wewe fanya ninavyokuagiza. Kwenda uniletee wale wana-mbuzi.”