Genesis 27:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Isaka akamwuliza, “Imekuwaje umepata mawindo upesi hivyo, mwanangu?” Yakobo akamjibu, “Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, amenifanikisha.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isaka akamuuliza mwanawe, “Umepataje mawindo haraka hivi, mwanangu?” Akajibu, “Mwenyezi Mungu, Mungu wako, amenifanikisha.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Isaka akamwuliza mwanawe, Imekuwaje umepata upesi namna hii, mwanangu? Akasema, Kwa sababu Bwana, Mungu wako, amenifanikisha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Isaka akamwuliza, “Imekuwaje umepata mawindo upesi hivyo, mwanangu?” Yakobo akamjibu, “Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, amenifanikisha.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Isaki akamwuliza mwanawe. “Umepataje haraka namna hii, mwanangu?” Akajibu, “BWANA Mungu wako amenifanikisha.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isaka akamuuliza mwanawe. “Umepataje haraka namna hii, mwanangu?” Akajibu, “ bwana Mwenyezi Mungu wako amenifanikisha.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Isaka akamwuliza mwanawe, Imekuwaje umepata upesi namna hii, mwanangu? Akasema, Kwa sababu BWANA, Mungu wako, amenifanikisha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Isaka akamwuliza, “Imekuwaje umepata mawindo upesi hivyo, mwanangu?” Yakobo akamjibu, “Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, amenifanikisha.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Isaka akamwuliza mwanawe: Mwanangu, umepataje nyama upesi hivyo? Akasema: Bwana Mungu wako amemtuma, anijie njiani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Isaka akamwuliza mwanawe, Imekuwaje umepata upesi namna hii, mwanangu? Akasema, Kwa sababu BWANA, Mungu wako, amenifanikisha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Isaka akamwuliza: “Imekuwa namna gani hata umepata mawindo upesi hivyo, mwana wangu?” Yakobo akamujibu: “Yawe, Mungu wako, amenifanikisha.”