Genesis 27:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo Isaka akamwambia Yakobo, “Basi, mwanangu, karibia nipate kukupapasa ili nijue kweli kama wewe ndiwe mwanangu Esau au la.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Isaka akamwambia Yakobo, “Mwanangu, tafadhali sogea karibu nami ili nikupapase, nione kama hakika ndiwe Esau mwanangu, au la.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Isaka akamwambia Yakobo, Karibu, tafadhali, ili nikupapase, mwanangu, nione kwamba wewe ndiwe mwanangu Esau, ama siyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo Isaka akamwambia Yakobo, “Basi, mwanangu, karibia nipate kukupapasa ili nijue kweli kama wewe ndiwe mwanangu Esau au la.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Isaki akamwambia Yakobo, “Mwanangu tafadhali sogea karibu nami ili nikupapase, nione kama hakika ndiwe Esau mwanangu, au la.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Isaka akamwambia Yakobo, “Mwanangu tafadhali sogea karibu nami ili nikupapase, nione kama hakika ndiwe Esau mwanangu, au la.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Isaka akamwambia Yakobo, Karibu, tafadhali, ili nikupapase, mwanangu, nione kwamba wewe ndiwe mwanangu Esau, ama siyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo Isaka akamwambia Yakobo, “Basi, mwanangu, karibia nipate kukupapasa ili nijue kweli kama wewe ndiwe mwanangu Esau au la.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Isaka akamwambia Yakobo: Nikaribie, mwanangu, nikupapase, nione, kama wewe ndiwe mwanangu Esau, au kama siwe!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Isaka akamwambia Yakobo, Karibu, tafadhali, ili nikupapase, mwanangu, nione kwamba wewe ndiwe mwanangu Esau, ama siyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Isaka akamwambia Yakobo: “Basi, mwana wangu, karibia nipate kukupapasa kusudi nijue kweli kama wewe ndiwe mwana wangu Esau au hapana.”