Genesis 27:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akamwuliza tena, “Kweli wewe ndiwe mwanangu Esau?” Naye akamjibu, “Ndiyo.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akamuuliza, “Kweli wewe ni mwanangu Esau?” Akajibu, “Ni mimi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamwuliza, Wewe ndiwe kweli mwanangu Esau? Akasema, Ndimi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akamwuliza tena, “Kweli wewe ndiwe mwanangu Esau?” Naye akamjibu, “Ndiyo.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akamwuliza, “Hivi kweli wewe ni mwanangu Esau?” Akajibu, “Mimi ndiye.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akamuuliza, “Hivi kweli wewe ni mwanangu Esau?” Akajibu, “Mimi ndiye.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamwuliza, Wewe ndiwe kweli mwanangu Esau? Akasema, Ndimi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akamwuliza tena, “Kweli wewe ndiwe mwanangu Esau?” Naye akamjibu, “Ndiyo.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipomwuliza tena: Wewe ndie kweli mwanangu Esau? akasema: Ndio, ni mimi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamwuliza, Wewe ndiwe kweli mwanangu Esau? Akasema, Ndimi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akamwuliza tena: “Kweli wewe ndiwe mwana wangu Esau?” Naye akamujibu: “Ndiyo.”