Genesis 27:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, baba yake akasema, “Niletee hiyo nyama nile mawindo yako mwanangu, nikubariki.” Hapo Yakobo akampelekea chakula, naye akala; akampelekea divai pia, akanywa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Isaka akasema, “Mwanangu, niletee sehemu ya mawindo yako nile, ili nikubariki.” Yakobo akamletea, naye akala; kisha akamletea na divai akanywa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akasema, Niletee karibu nami nipate kula mawindo ya mwanangu, ili roho yangu ikubariki. Akamsogezea karibu, naye akala; kisha akamletea mvinyo, akanywa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, baba yake akasema, “Niletee hiyo nyama nile mawindo yako mwanangu, nikubariki.” Hapo Yakobo akampelekea chakula, naye akala; akampelekea divai pia, akanywa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha akasema, “Mwanangu, niletee sehemu ya mawindo yako nile, ili nipate kukubariki.” Yakobo akamletea naye akala, akamletea na divai akanywa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha akasema, “Mwanangu, niletee sehemu ya mawindo yako nile, ili nipate kukubariki.” Yakobo akamletea naye akala, akamletea na divai akanywa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akasema, Niletee karibu nami nipate kula mawindo ya mwanangu, ili roho yangu ikubariki. Akamsogezea karibu, naye akala; kisha akamletea mvinyo, akanywa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, baba yake akasema, “Niletee hiyo nyama nile mawindo yako mwanangu, nikubariki.” Hapo Yakobo akampelekea chakula, naye akala; akampelekea divai pia, akanywa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, alipomwambia: Niletee karibu, nile nyama, ulizoniwindia, mwanangu, roho yangu ipate kukubariki! Akazileta karibu, naye akala; kisha akamletea mvinyo, akanywa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akasema, Niletee karibu nami nipate kula mawindo ya mwanangu, ili roho yangu ikubariki. Akamsogezea karibu, naye akala; kisha akamletea mvinyo, akanywa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, baba yake akasema: “Uniletee hiyo nyama nikule mawindo yako mwana wangu, nikubariki.” Kwa hiyo Yakobo akamupelekea chakula, naye akakula; akamupelekea divai vilevile, akakunywa.