Genesis 27:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo baba yake Isaka, akamwambia, “Sogea karibu, mwanangu, unibusu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Isaka baba yake akamwambia, “Njoo hapa, mwanangu, unibusu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Isaka, baba yake, akamwambia, Njoo karibu sasa, ukanibusu, mwanangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo baba yake Isaka, akamwambia, “Sogea karibu, mwanangu, unibusu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Isaki baba yake akamwambia, “Njoo hapa, mwanangu, unibusu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Isaka baba yake akamwambia, “Njoo hapa, mwanangu, unibusu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Isaka, baba yake, akamwambia, Njoo karibu sasa, ukanibusu, mwanangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo baba yake Isaka, akamwambia, “Sogea karibu, mwanangu, unibusu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha baba yake Isaka akamwambia: Nikaribie, uninonee, mwanangu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Isaka, baba yake, akamwambia, Njoo karibu sasa, ukanibusu, mwanangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu baba yake Isaka, akamwambia: “Sogea karibu, mwana wangu, unibusu.”