Genesis 27:32 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Isaka akauliza, “Wewe ni nani?” Naye akamjibu, “Ni mimi mwanao Esau, mzaliwa wako wa kwanza.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isaka baba yake akamuuliza, “Wewe ni nani?” Akamjibu, “Mimi ni mwanao, mzaliwa wako wa kwanza, Esau.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Isaka, baba yake, akamwuliza, U nani wewe? Akasema, Mimi ni mwanao, Esau, mzaliwa wako wa kwanza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Isaka akauliza, “Wewe ni nani?” Naye akamjibu, “Ni mimi mwanao Esau, mzaliwa wako wa kwanza.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Isaki baba yake akamwuliza, “Wewe ni nani?” Akajibu, “Mimi ni mwanao, mzaliwa wako wa kwanza, Esau.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isaka baba yake akamuuliza, “Wewe ni nani?” Akajibu, “Mimi ni mwanao, mzaliwa wako wa kwanza, Esau.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Isaka, baba yake, akamwuliza, U nani wewe? Akasema, Mimi ni mwanao, Esau, mzaliwa wako wa kwanza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Isaka akauliza, “Wewe ni nani?” Naye akamjibu, “Ni mimi mwanao Esau, mzaliwa wako wa kwanza.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, baba yake Isaka alipomwuliza: Wewe ndiwe nani? Akajibu: Mimi ni mwanao wa kwanza Esau.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Isaka, baba yake, akamwuliza, U nani wewe? Akasema, Mimi ni mwanao, Esau, mzaliwa wako wa kwanza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Isaka akauliza: “Wewe ni nani?” Naye akamujibu: “Ni mimi mwana wako Esau, muzaliwa wako wa kwanza.”