Genesis 27:35 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Isaka akasema, “Ndugu yako alikuja kwa hila, naye amechukua baraka yako.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini akamjibu, “Ndugu yako amekuja kwa udanganyifu, akachukua baraka yako.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akasema, Nduguyo amekuja kwa hila, akauchukua mbaraka wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Isaka akasema, “Ndugu yako alikuja kwa hila, naye amechukua baraka yako.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini akasema, “Ndugu yako amekuja kwa udanganyifu na akachukua baraka yako.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini akasema, “Ndugu yako amekuja kwa udanganyifu na akachukua baraka yako.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akasema, Nduguyo amekuja kwa hila, akaichukua baraka yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Isaka akasema, “Ndugu yako alikuja kwa hila, naye amechukua baraka yako.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini akajibu: Ndugu yako mekuja kwa udanganyifu, akaipaat mbaraka yako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akasema, Nduguyo amekuja kwa hila, akauchukua mbaraka wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Isaka akasema: “Ndugu yako alikuja kwa udanganyifu, naye ametwaa baraka yako.”