Genesis 27:40 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utaishi kwa upanga wako, na utamtumikia ndugu yako; lakini utakapoasi utaivunja kongwa yake shingoni mwako.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utaishi kwa upanga, nawe utamtumikia ndugu yako. Lakini utakapokuwa umejikomboa, utatupa nira yake kutoka shingoni mwako.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa upanga wako wewe utaishi, nawe utamtumikia nduguyo; Na itakuwa utakapoponyoka, Utalivunja kongwa lake katika shingo yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utaishi kwa upanga wako, na utamtumikia ndugu yako; lakini utakapoasi utaivunja kongwa yake shingoni mwako.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utaishi kwa upanga, nawe utamtumikia ndugu yako, lakini wakati utakapokuwa umejikomboa, utatupa nira yake kutoka shingoni mwako.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utaishi kwa upanga, nawe utamtumikia ndugu yako, lakini wakati utakapokuwa umejikomboa, utatupa nira yake kutoka shingoni mwako.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa upanga wako wewe utaishi, nawe utamtumikia nduguyo; Na itakuwa utakapoponyoka, Utalivunja kongwa lake katika shingo yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utaishi kwa upanga wako, na utamtumikia ndugu yako; lakini utakapoasi utaivunja kongwa yake shingoni mwako.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utajilisha mapato ya upanga wako, utamtumikia ndugu yako; lakini itakuwa, ukijikaza utalivunja kongwa, litoke shingoni pako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa upanga wako wewe utaishi, nawe utamtumikia nduguyo; Na itakuwa utakapoponyoka, Utalivunja kongwa lake katika shingo yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utaishi kwa upanga wako, na utamutumikia ndugu yako; lakini utakapoasi utaivunja nira yake toka kwenye shingo yako.”