Genesis 27:44 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kaa naye kwa muda, mpaka ghadhabu ya nduguyo itakapopoa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ukae naye kwa muda hadi ghadhabu ya ndugu yako itulie.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ukae kwake siku chache, hata ghadhabu ya ndugu yako igeuke;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kaa naye kwa muda, mpaka ghadhabu ya nduguyo itakapopoa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ukae naye kwa muda mpaka ghadhabu ya ndugu yako itulie.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ukae naye kwa muda mpaka ghadhabu ya ndugu yako itulie.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ukae kwake siku chache, hadi ghadhabu ya ndugu yako iishe;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kaa naye kwa muda, mpaka ghadhabu ya nduguyo itakapopoa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Na ukae kwake siku kidogo, mpaka machafuko ya kaka yako yatulie.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ukae kwake siku chache, hata ghadhabu ya ndugu yako igeuke;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ukae naye kwa muda, mpaka kasirani ya ndugu yako itakapopoa.