Genesis 27:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
amwindie mnyama na kumtengenezea chakula kitamu, ili ale, apate kumbariki mbele ya Mwenyezi-Mungu kabla ya kufa kwake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
‘Niletee mawindo, kisha ukaniandalie chakula kitamu nile, ili nikubariki mbele za Mwenyezi Mungu kabla sijafa.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Niletee mawindo, ukanifanyie chakula kitamu ili nile, na kukubariki mbele za Bwana kabla ya kufa kwangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
amwindie mnyama na kumtengenezea chakula kitamu, ili ale, apate kumbariki mbele ya Mwenyezi-Mungu kabla ya kufa kwake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
‘Niletee mawindo, kisha ukaniandalie chakula kitamu nile, ili niweze kukubariki mbele za BWANA kabla sijafa.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
‘Niletee mawindo, kisha ukaniandalie chakula kitamu nile, ili niweze kukubariki mbele za bwana kabla sijafa.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Niletee mawindo, ukanifanyie chakula kitamu ili nile, na kukubariki mbele za BWANA kabla ya kufa kwangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
amwindie mnyama na kumtengenezea chakula kitamu, ili ale, apate kumbariki mbele ya Mwenyezi-Mungu kabla ya kufa kwake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Niletee nyama ya porini, unitengenezee kilaji cha urembo, nile, nipate kukubariki usoni pa Bwana kabla ya kufa kwangu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Niletee mawindo, ukanifanyie chakula kitamu ili nile, na kukubariki mbele za BWANA kabla ya kufa kwangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
amwindie nyama na kumutengenezea chakula kitamu, akikule, apate kumubariki mbele ya Yawe mbele ya kufa kwake.