Genesis 27:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa mwanangu, sikiliza maneno yangu na utii ninayokuagiza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sasa mwanangu, nisikilize kwa makini na ufanye yale ninayokuambia:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, mwanangu, sikiliza sauti yangu kama nitakavyokuagiza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa mwanangu, sikiliza maneno yangu na utii ninayokuagiza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sasa, mwanangu, nisikilize kwa makini na ufanye yale ninayokuambia:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sasa, mwanangu, nisikilize kwa makini na ufanye yale ninayokuambia:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, mwanangu, sikiliza sauti yangu kama nitakavyokuagiza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa mwanangu, sikiliza maneno yangu na utii ninayokuagiza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa mwanangu, isikie sauti yangu, uyafanye nitakayokuagiza!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, mwanangu, sikiliza sauti yangu kama nitakavyokuagiza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa mwana wangu, sikiliza maneno yangu na utii ninayokuagiza.