Genesis 27:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nenda kwenye kundi la mbuzi uniletee wanambuzi wawili wazuri, nimtengenezee baba yako chakula kitamu, kile apendacho.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nenda sasa katika kundi ukaniletee wana-mbuzi wawili wazuri, ili nimwandalie baba yako chakula kitamu kile anachokipenda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Enenda sasa kundini ukanitwalie wana-mbuzi wawili walio wema, nami nitawafanya chakula kitamu kwa baba yako, namna ile aipendayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nenda kwenye kundi la mbuzi uniletee wanambuzi wawili wazuri, nimtengenezee baba yako chakula kitamu, kile apendacho.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nenda sasa katika kundi ukaniletee wana-mbuzi wawili wazuri, ili niandalie chakula kitamu kwa ajili ya baba yako, kama vile anavyotaka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nenda sasa katika kundi ukaniletee wana-mbuzi wawili wazuri, ili niandalie chakula kitamu kwa ajili ya baba yako, kama vile anavyopenda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nenda sasa kundini ukanitwalie wana-mbuzi wawili walio wema, nami nitawafanya chakula kitamu kwa baba yako, namna ile aipendayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nenda kwenye kundi la mbuzi uniletee wanambuzi wawili wazuri, nimtengenezee baba yako chakula kitamu, kile apendacho.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nenda makundini kunichukulia huko wana wawili wa mbuzi walio wazuri, nimtengenezee baba yako nyama zao kuwa kilaji cha urembo, kama anavyokipenda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Enenda sasa kundini ukanitwalie wana-mbuzi wawili walio wema, nami nitawafanya chakula kitamu kwa baba yako, namna ile aipendayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwenda kwenye kundi la mbuzi uniletee wana-mbuzi wawili wazuri, nimutengenezee baba yako chakula kitamu, kile anachopenda.