Genesis 28:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo Yakobo akaamka usingizini, akasema, “Hakika, Mwenyezi-Mungu yupo mahali hapa, nami sikujua!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yakobo alipoamka kutoka usingizi, akawaza, “Hakika Mwenyezi Mungu yuko mahali hapa, wala mimi sikujua.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yakobo akaamka katika usingizi wake, akasema, Kweli Bwana yupo mahali hapa, wala mimi sikujua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo Yakobo akaamka usingizini, akasema, “Hakika, Mwenyezi-Mungu yupo mahali hapa, nami sikujua!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yakobo alipoamka kutoka usingizini, akawaza, “Hakika BWANA yuko mahali hapa, wala mimi sikujua.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yakobo alipoamka kutoka usingizini, akawaza, “Hakika bwana yuko mahali hapa, wala mimi sikujua.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yakobo akaamka katika usingizi wake, akasema, Kweli BWANA yupo mahali hapa, ijapokuwa mimi sikujua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo Yakobo akaamka usingizini, akasema, “Hakika, Mwenyezi-Mungu yupo mahali hapa, nami sikujua!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yakobo alipoamka katika usingizi akasema: Kweli Bwana yuko mahali hapa, nami nilikuwa sikuyajua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yakobo akaamka katika usingizi wake, akasema, Kweli BWANA yupo mahali hapa, wala mimi sikujua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Yakobo akaamuka toka usingizi, akasema: “Hakika, Yawe yuko pahali hapa, nami sikujua!”