Genesis 28:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ili nirudi nyumbani kwa baba yangu salama, basi, wewe Mwenyezi-Mungu utakuwa ndiwe Mungu wangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na nirudi salama nyumbani mwa baba yangu, hapo ndipo Mwenyezi Mungu atakuwa Mungu wangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nami nikirudi kwa amani nyumbani kwa baba yangu, ndipo Bwana atakuwa Mungu wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ili nirudi nyumbani kwa baba yangu salama, basi, wewe Mwenyezi-Mungu utakuwa ndiwe Mungu wangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na nirudi salama nyumbani kwa baba yangu, hapo ndipo BWANA atakuwa Mungu wangu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na nirudi salama nyumbani kwa baba yangu, hapo ndipo bwana atakuwa Mungu wangu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nami nikirudi kwa amani nyumbani kwa baba yangu, ndipo BWANA atakuwa Mungu wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ili nirudi nyumbani kwa baba yangu salama, basi, wewe Mwenyezi-Mungu utakuwa ndiwe Mungu wangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nipate kurudi na kutengemana nyumbani mwa baba yangu, Bwana atakuwa Mungu wangu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nami nikirudi kwa amani nyumbani kwa baba yangu, ndipo BWANA atakuwa Mungu wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kusudi nirudi katika nyumba ya baba yangu salama, basi, wewe Yawe utakuwa ndiwe Mungu wangu.