Genesis 28:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu mwenye nguvu na akubariki upate wazawa wengi na kuongezeka, ili uwe jamii kubwa ya watu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mungu Mwenyezi na akubariki, uwe na uzao, uongezeke idadi yako hadi upate kuwa jamii kubwa ya watu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Mungu Mwenyezi, akubariki, akuzidishe, na kukuongeza, ili uwe mkutano wa makabila.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu mwenye nguvu na akubariki upate wazawa wengi na kuongezeka, ili uwe jamii kubwa ya watu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mungu Mwenyezi na akubariki uwe na uzao uongezeke idadi yako upate kuwa jamii kubwa ya watu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwenyezi Mungu na akubariki uwe na uzao uongezeke idadi yako upate kuwa jamii kubwa ya watu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Mungu Mwenyezi, akubariki, akuzidishe, na kukuongeza, ili uwe mtu wa watu wengi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu mwenye nguvu na akubariki upate wazawa wengi na kuongezeka, ili uwe jamii kubwa ya watu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Mwenyezi Mungu akubariki, akupe kuzaa wana wengi sana, upate kuwa mkutano wa makabila ya watu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Mungu Mwenyezi, akubariki, akuzidishe, na kukuongeza, ili uwe mkutano wa makabila.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu Mwenye Nguvu akubariki upate wazao wengi na kuongezeka, kusudi ukuwe jamii kubwa ya watu.