Genesis 28:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Isaka akamtuma Yakobo, naye akaenda Padan-aramu kwa Labani, mwana wa Bethueli, Mwaramu, kaka yake Rebeka, mama yao Yakobo na Esau.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Isaka akamuaga Yakobo, naye akaenda Padan-Aramu, kwa Labani mwana wa Bethueli Mwaramu, ndugu wa Rebeka, mama yao Yakobo na Esau.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Isaka akampeleka Yakobo, naye akaenda Padan-aramu, kwa Labani, mwana wa Bethueli, Mshami, ndugu wa Rebeka, mama yao Yakobo na Esau.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Isaka akamtuma Yakobo, naye akaenda Padan-aramu kwa Labani, mwana wa Bethueli, Mwaramu, kaka yake Rebeka, mama yao Yakobo na Esau.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Isaki akamuaga Yakobo, naye akaenda Padan-Aramu, kwa Labani mwana wa Bethueli Mwaramu, ndugu wa Rebeka, aliyekuwa mama wa Yakobo na Esau.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Isaka akamuaga Yakobo, naye akaenda Padan-Aramu, kwa Labani mwana wa Bethueli Mwaramu, ndugu wa Rebeka, aliyekuwa mama wa Yakobo na Esau.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Isaka akamtuma Yakobo, naye akaenda Padan-aramu, kwa Labani, mwana wa Bethueli, Mshami, ndugu wa Rebeka, mama yao Yakobo na Esau.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Isaka akamtuma Yakobo, naye akaenda Padan-aramu kwa Labani, mwana wa Bethueli, Mwaramu, kaka yake Rebeka, mama yao Yakobo na Esau.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, Isaka alivyomtuma Yakobo kwenda Mesopotamia kwa Mshami Labani, mwana wa Betueli, kaka yake Rebeka aliyekuwa mama yao Yakobo na Esau.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Isaka akampeleka Yakobo, naye akaenda Padan-aramu, kwa Labani, mwana wa Bethueli, Mshami, ndugu wa Rebeka, mama yao Yakobo na Esau.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Isaka akamutuma Yakobo, naye akakwenda Padani-Aramu kwa Labani, mwana wa Betueli wa Aramu, kaka ya Rebeka, mama ya Yakobo na Esau.