Genesis 28:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Esau akafahamu kwamba baba yake hapendezwi na wanawake wa Kanaani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Esau akatambua jinsi baba yake Isaka alivyowachukia binti za Wakanaani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Esau akaona ya kuwa binti za Kanaani hawakumpendeza Isaka, baba yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Esau akafahamu kwamba baba yake hapendezwi na wanawake wa Kanaani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Esau akatambua jinsi ambavyo baba yake Isaki anavyowachukia binti za Wakanaani,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Esau akatambua jinsi ambavyo baba yake Isaka anavyowachukia binti za Wakanaani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Esau akaona ya kuwa binti za Kanaani hawakumpendeza Isaka, baba yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Esau akafahamu kwamba baba yake hapendezwi na wanawake wa Kanaani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena Esau akaona, ya kama vijana wa kike wa Kanaani walikuwa wabaya machoni pa baba yake, Isaka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Esau akaona ya kuwa binti za Kanaani hawakumpendeza Isaka, baba yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Esau akafahamu kwamba baba yake hapendezwi na wanawake wa Kanana.