Genesis 29:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yakobo aliendelea na safari yake, akafika katika nchi za watu wa mashariki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Yakobo akaendelea na safari yake, na akafika nchi ya watu wa mashariki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Yakobo akashika njia yake, akafika nchi ya wana wa mashariki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yakobo aliendelea na safari yake, akafika katika nchi za watu wa mashariki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Yakobo akaendelea na safari yake na akafika kwenye nchi za mataifa ya mashariki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Yakobo akaendelea na safari yake na akafika kwenye nchi za mataifa ya mashariki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha Yakobo akashika njia yake, akafika nchi ya wana wa mashariki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yakobo aliendelea na safari yake, akafika katika nchi za watu wa mashariki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Yakobo akashika njia kwenda katika nchi yao wana wa upande wa maawioni kwa jua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Yakobo akashika njia yake, akafika nchi ya wana wa mashariki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yakobo aliendelea na safari yake, akafika katika inchi za watu wa upande wa mashariki.