Genesis 29:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha Yakobo akambusu Raheli na kulia kwa sauti.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Yakobo akambusu Raheli, na akaanza kulia kwa sauti.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yakobo akambusu Raheli, akainua sauti yake akalia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha Yakobo akambusu Raheli na kulia kwa sauti.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Yakobo akambusu Raheli na akaanza kulia kwa sauti.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Yakobo akambusu Raheli na akaanza kulia kwa sauti.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yakobo akambusu Raheli, akalia kwa sauti.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha Yakobo akambusu Raheli na kulia kwa sauti.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Yakobo akamnonea Raheli, akaipaza sauti yake na kulia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yakobo akambusu Raheli, akainua sauti yake akalia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Yakobo akamubusu Rakeli na kulia kwa sauti.