Genesis 29:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Halafu Yakobo akamjulisha Raheli kuwa yeye ni wa jamaa ya baba yake, na kwamba ni mwana wa Rebeka. Raheli akapiga mbio nyumbani akamwarifu baba yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yakobo alikuwa amemwambia Raheli kuwa yeye alikuwa jamaa ya baba yake, na kwamba ni mwana wa Rebeka. Basi Raheli alikimbia na kumweleza baba yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yakobo akamwarifu Raheli ya kuwa yeye ni ndugu wa babaye, na ya kuwa ni mwana wa Rebeka. Basi akapiga mbio akampasha babaye habari.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Halafu Yakobo akamjulisha Raheli kuwa yeye ni wa jamaa ya baba yake, na kwamba ni mwana wa Rebeka. Raheli akapiga mbio nyumbani akamwarifu baba yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alikuwa amemwambia Raheli kuwa yeye alikuwa jamaa ya baba yake na kwamba ni mwana wa Rebeka. Basi Raheli alikimbia na kumweleza baba yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yakobo alikuwa amemwambia Raheli kuwa yeye alikuwa jamaa ya baba yake, na kwamba ni mwana wa Rebeka. Basi Raheli alikimbia na kumweleza baba yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yakobo akamwarifu Raheli ya kuwa yeye ni ndugu wa babaye, na ya kuwa ni mwana wa Rebeka. Basi akapiga mbio akampasha babaye habari.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Halafu Yakobo akamjulisha Raheli kuwa yeye ni wa jamaa ya baba yake, na kwamba ni mwana wa Rebeka. Raheli akapiga mbio nyumbani akamwarifu baba yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yakobo akamsimulia Raheli, ya kuwa yeye ni ndugu ya baba yake kwa kuwa mwana wa Rebeka; ndipo, alipopiga mbio kwenda kumpasha baba yake habari.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yakobo akamwarifu Raheli ya kuwa yeye ni ndugu wa babaye, na ya kuwa ni mwana wa Rebeka. Basi akapiga mbio akampasha babaye habari.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akamujulisha Rakeli kwamba yeye ni wa jamaa ya baba yake, na kwamba ni mwana wa Rebeka. Rakeli akakimbia mbio kwa nyumba akamwarifu baba yake.