Genesis 29:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye Labani akasema, “Hakika, wewe ni jamaa yangu, damu moja nami!” Yakobo akakaa naye kwa muda wa mwezi mmoja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Labani akamwambia, “Wewe ni mwili wangu na damu yangu mwenyewe.” Baada ya Yakobo kukaa kwa Labani mwezi mzima,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Labani akamwambia, Ndiwe kweli mfupa wangu na nyama yangu. Naye akakaa kwake muda wa mwezi mmoja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye Labani akasema, “Hakika, wewe ni jamaa yangu, damu moja nami!” Yakobo akakaa naye kwa muda wa mwezi mmoja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Labani akamwambia, “Wewe ni nyama yangu na damu yangu mwenyewe.” Baada ya Yakobo kukaa kwa Labani mwezi mzima,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Labani akamwambia, “Wewe ni nyama yangu na damu yangu mwenyewe.” Baada ya Yakobo kukaa kwa Labani mwezi mzima,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Labani akamwambia, Ndiwe kweli mfupa wangu na nyama yangu. Naye akakaa kwake muda wa mwezi mmoja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye Labani akasema, “Hakika, wewe ni jamaa yangu, damu moja nami!” Yakobo akakaa naye kwa muda wa mwezi mmoja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Labani alipomwambia: Kweli wewe na mimi tu mfupa mmoja na nyama za mwili mmoja. Akakaa kwake siku kama za mwezi mmoja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Labani akamwambia, Ndiwe kweli mfupa wangu na nyama yangu. Naye akakaa kwake muda wa mwezi mmoja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye Labani akasema: “Hakika, wewe ni jamaa yangu, damu moja nami!” Yakobo akakaa naye kwa muda wa mwezi mumoja.