Genesis 29:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa, Labani alikuwa na binti wawili: Mkubwa aliitwa Lea, na mdogo aliitwa Raheli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Labani alikuwa na binti wawili; binti mkubwa aliitwa Lea, naye binti mdogo aliitwa Raheli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Labani alikuwa na binti wawili, jina la mkubwa ni Lea, na jina la mdogo ni Raheli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa, Labani alikuwa na binti wawili: mkubwa aliitwa Lea, na mdogo aliitwa Raheli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Labani alikuwa na binti wawili, binti mkubwa aliitwa Lea na binti mdogo aliitwa Raheli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Labani alikuwa na binti wawili, binti mkubwa aliitwa Lea na binti mdogo aliitwa Raheli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Labani alikuwa na binti wawili, jina la mkubwa ni Lea, na jina la mdogo ni Raheli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa, Labani alikuwa na binti wawili: Mkubwa aliitwa Lea, na mdogo aliitwa Raheli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Labani alikuwa na wana wa kike wawili, mkubwa jina lake ni Lea, mdogo jina lake ni Raheli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Labani alikuwa na binti wawili, jina la mkubwa ni Lea, na jina la mdogo ni Raheli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa, Labani alikuwa na wabinti wawili: mukubwa anayeitwa Lea na mudogo anayeitwa Rakeli.