Genesis 29:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Labani akamwambia, “Afadhali nimwoze Raheli kwako wewe kuliko kumwoza mtu mwingine yeyote. Endelea kuishi nami.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Labani akasema, “Ni bora zaidi nikupe Raheli kuliko kumpa mtu mwingine yeyote. Kaa pamoja na mimi hapa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Labani akasema, Afadhali nikupe wewe kuliko mtu mwingine; kaa kwangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Labani akamwambia, “Afadhali nimwoze Raheli kwako wewe kuliko kumwoza mtu mwingine yeyote. Endelea kuishi nami.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Labani akasema, “Ni bora zaidi nikupe Raheli kuliko kumpa mtu mwingine ye yote. Kaa pamoja na mimi hapa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Labani akasema, “Ni bora zaidi nikupe Raheli kuliko kumpa mtu mwingine yeyote. Kaa pamoja na mimi hapa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Labani akasema, Afadhali nikupe wewe kuliko mtu mwingine; kaa kwangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Labani akamwambia, “Afadhali nimwoze Raheli kwako wewe kuliko kumwoza mtu mwingine yeyote. Endelea kuishi nami.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Labani akasema: Inafaa zaidi, nikupe wewe kuliko mtu mwingine; basi, kaa kwangu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Labani akasema, Afadhali nikupe wewe kuliko mtu mwingine; kaa kwangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Labani akamwambia: “Afazali nimwoeshe Rakeli kwako wewe kuliko kumwoesha kwa mutu mwingine yeyote. Endelea kuishi nami.”