Genesis 29:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha Yakobo akamwambia Labani, “Muda wangu umetimia, kwa hiyo nipe mke wangu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Yakobo akamwambia Labani, “Nipe mke wangu. Muda wangu umekamilika, nami nataka niingie kwake.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yakobo akamwambia Labani, Nipe mke wangu, maana siku zangu zimetimia; niingie kwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha Yakobo akamwambia Labani, “Muda wangu umetimia, kwa hiyo nipe mke wangu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Yakobo akamwambia Labani, “Nipe mke wangu. Muda wangu umekamilika, nami nataka nikutane naye kimwili.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Yakobo akamwambia Labani, “Nipe mke wangu. Muda wangu umekamilika, nami nataka nikutane naye kimwili.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yakobo akamwambia Labani, Nipe mke wangu, maana siku zangu zimetimia; niingie kwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha Yakobo akamwambia Labani, “Muda wangu umetimia, kwa hiyo nipe mke wangu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Yakobo akamwambia Labani: Nipe mke wangu! Kwani siku zangu zimetimia, nipate kuingia kwake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yakobo akamwambia Labani, Nipe mke wangu, maana siku zangu zimetimia; niingie kwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Yakobo akamwambia Labani: “Muda wangu umetimia, kwa hiyo unipe muke wangu.”