Genesis 29:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Labani akaandaa karamu na kuwaalika watu wote wa huko.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Labani akaalika watu wote wa mahali pale na akafanya karamu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Labani akakusanya watu wote wa mahali pale, akafanya karamu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Labani akaandaa karamu na kuwaalika watu wote wa huko.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Labani akaalika watu wote wa mahali pale na akafanya karamu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Labani akaalika watu wote wa mahali pale na akafanya karamu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Labani akakusanya watu wote wa mahali pale, akafanya karamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Labani akaandaa karamu na kuwaalika watu wote wa huko.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Labani alipowakusanya watu wote wa mahali pale, akafanya karamu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Labani akakusanya watu wote wa mahali pale, akafanya karamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Labani akafanya karamu na kuwaalika watu wote wa kule.