Genesis 29:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini jioni, Labani akamchukua Lea, binti yake mkubwa, na kumpeleka kwa Yakobo. Yakobo akalala naye.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini ilipofika jioni, akamchukua Lea binti yake, akampa Yakobo, naye Yakobo akakutana naye kimwili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa wakati wa jioni akamtwaa Lea, binti yake, akamletea Yakobo, naye akaingia kwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini jioni, Labani akamchukua Lea, binti yake mkubwa, na kumpeleka kwa Yakobo. Yakobo akalala naye.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini ilipofika jioni, akamchukua Lea binti yake akampa Yakobo, naye Yakobo akakutana naye kimwili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini ilipofika jioni, akamchukua Lea binti yake akampa Yakobo, naye Yakobo akakutana naye kimwili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa wakati wa jioni akamtwaa Lea, binti yake, akamletea Yakobo, naye akaingia kwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini jioni, Labani akamchukua Lea, binti yake mkubwa, na kumpeleka kwa Yakobo. Yakobo akalala naye.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ilipokuwa jioni, akamchukua mwanawe Lea, akamwingiza kwake, naye akaingia kwake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa wakati wa jioni akamtwaa Lea, binti yake, akamletea Yakobo, naye akaingia kwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini magaribi, Labani akatwaa Lea, binti yake mukubwa, na kumupeleka kwa Yakobo. Yakobo akalala naye.