Genesis 29:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Labani akamtoa Zilpa, mjakazi wake, awe mtumishi wa Lea.)
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye Labani akamtoa Zilpa mjakazi wake kuwa mtumishi wa Lea, binti yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Labani akampa Lea mjakazi wake Zilpa, awe mjakazi wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
(Labani akamtoa Zilpa, mjakazi wake, awe mtumishi wa Lea.)
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye Labani akamtoa Zilpa mtumishi wake wa kike kuwa mtumishi wa binti yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye Labani akamtoa Zilpa, mtumishi wake wa kike, kuwa mtumishi wa Lea, binti yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Labani akampa Lea mjakazi wake Zilpa, awe mjakazi wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
(Labani akamtoa Zilpa, mjakazi wake, awe mtumishi wa Lea.)
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Labani akampa kijakazi wake Zilpa, amtumikie mwanawe Lea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Labani akampa Lea mjakazi wake Zilpa, awe mjakazi wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
(Labani akamutoa Zilpa, mujakazi wake, akuwe mutumishi wa Lea.)