Genesis 29:32 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lea akapata mimba, akajifungua mtoto wa kiume, akamwita Reubeni, akisema, “Mwenyezi-Mungu ameyaona mateso yangu; bila shaka sasa mume wangu atanipenda.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lea akapata mimba, akazaa mwana. Akamwita jina Reubeni, kwa maana alisema, “Ni kwa sababu Mwenyezi Mungu ameona huzuni yangu. Hakika mume wangu sasa atanipenda.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lea akapata mimba akazaa mwana, akampa jina lake, Reubeni, maana alisema, Kwa kuwa Bwana ameona teso langu; sasa mume wangu atanipenda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lea akapata mimba, akajifungua mtoto wa kiume, akamwita Reubeni, akisema, “Mwenyezi-Mungu ameyaona mateso yangu; bila shaka sasa mume wangu atanipenda.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lea akapata mimba akazaa mwana. Akamwita Reubeni, kwa maana alisema, “Ni kwa sababu BWANA ameona huzuni yangu. Hakika mume wangu sasa atanipenda.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lea akapata mimba akazaa mwana. Akamwita Reubeni, kwa maana alisema, “Ni kwa sababu bwana ameona huzuni yangu. Hakika mume wangu sasa atanipenda.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lea akapata mimba akazaa mwana, akampa jina lake, Reubeni, maana alisema, Kwa kuwa BWANA ameona mateso yangu; sasa mume wangu atanipenda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lea akapata mimba, akajifungua mtoto wa kiume, akamwita Reubeni, akisema, “Mwenyezi-Mungu ameyaona mateso yangu; bila shaka sasa mume wangu atanipenda.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Lea alipopata mimba, akazaa mtoto mume, akamwita jina lake Rubeni (Tazameni Mtoto), kwani alisema: Bwana ameutazama ukiwa wangu; kwani sasa mume wangu atanipenda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lea akapata mimba akazaa mwana, akampa jina lake, Reubeni, maana alisema, Kwa kuwa BWANA ameona teso langu; sasa mume wangu atanipenda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lea akapata mimba, akazaa mutoto mwanaume, akamwita Rubeni, akisema: “Yawe ameona mateso yangu; bila shaka sasa mume wangu atanipenda.”