Genesis 29:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akaendelea kuwauliza, “Je, hajambo?” Nao wakamjibu, “Hajambo; hata binti yake Raheli, yule kule anakuja na kondoo wake!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Yakobo akawauliza, “Je, yeye ni mzima?” Wakasema, “Ndiyo, ni mzima; na hapa yuaja Raheli binti yake akiwa na kondoo.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawauliza, Je! Hajambo? Wakasema, Hajambo; tazama, Raheli binti yake anakuja na kondoo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akaendelea kuwauliza, “Je, hajambo?” Nao wakamjibu, “Hajambo; hata binti yake Raheli, yule kule anakuja na kondoo wake!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Yakobo akawauliza, “Je, yeye ni mzima?” Wakasema, “Ndiyo, ni mzima, na hapa yuaja Raheli binti yake akiwa na kondoo.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Yakobo akawauliza, “Je, yeye ni mzima?” Wakasema, “Ndiyo, ni mzima, na hapa yuaja Raheli binti yake akiwa na kondoo.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawauliza, Je! Hajambo? Wakasema, Hajambo; tazama, Raheli binti yake anakuja na kondoo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akaendelea kuwauliza, “Je, hajambo?” Nao wakamjibu, “Hajambo; hata binti yake Raheli, yule kule anakuja na kondoo wake!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawauliza tena: Hajambo? Wakajibu: Hajambo, tena tazama! Mwanawe wa kike, Raheli, anakuja na kundi lake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawauliza, Je! Hajambo? Wakasema, Hajambo; tazama, Raheli binti yake anakuja na kondoo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akaendelea kuwauliza: “Yuko muzima?” Nao wakamujibu: “Yeye ni muzima; hata binti yake Rakeli, yule kule anakuja na kondoo wake!”