Genesis 29:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yakobo alipokuwa bado anazungumza na hao wachungaji, Raheli akafika na kondoo wa baba yake, kwani ndiye aliyekuwa akiwachunga.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alipokuwa akizungumza nao, Raheli akaja na kondoo wa baba yake, kwa maana alikuwa mchunga kondoo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata alipokuwa akisema nao, Raheli akaja na kondoo za baba yake, maana aliwachunga.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yakobo alipokuwa bado anazungumza na hao wachungaji, Raheli akafika na kondoo wa baba yake, kwani ndiye aliyekuwa akiwachunga.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alipokuwa akizungumza nao, Raheli akaja pamoja na kondoo wa baba yake, kwa maana alikuwa mchunga kondoo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alipokuwa akizungumza nao, Raheli akaja pamoja na kondoo wa baba yake, kwa maana alikuwa mchunga kondoo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na alipokuwa akisema nao, Raheli akaja na kondoo wa baba yake, maana aliwachunga.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yakobo alipokuwa bado anazungumza na hao wachungaji, Raheli akafika na kondoo wa baba yake, kwani ndiye aliyekuwa akiwachunga.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Angali akisema nao, Raheli akafika na kundi la baba yake, kwani alikua analichunga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata alipokuwa akisema nao, Raheli akaja na kondoo za baba yake, maana aliwachunga.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yakobo alipokuwa bado anazungumuza na hao wachungaji, Rakeli akafika na kondoo wa baba yake, maana yeye ndiye aliyekuwa akiwachunga.