Genesis 3:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu akawatengenezea Adamu na mkewe mavazi ya ngozi, akawavika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bwana Mwenyezi Mungu akawatengenezea Adamu na mkewe mavazi ya ngozi, akawavika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana Mungu akawafanyia Adamu na mkewe mavazi ya ngozi, akawavika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu akawatengenezea Adamu na mkewe mavazi ya ngozi, akawavika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA Mungu akawatengenezea Adamu na mkewe mavazi ya ngozi, akawavika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana Mwenyezi Mungu akawatengenezea Adamu na mkewe mavazi ya ngozi, akawavika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA Mungu akawafanyia Adamu na mkewe mavazi ya ngozi, akawavika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu akawatengenezea Adamu na mkewe mavazi ya ngozi, akawavika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana Mungu akamtengenezea Adamu na mkewe ngozi za kuvaa, akawavika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA Mungu akawafanyia Adamu na mkewe mavazi ya ngozi, akawavika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe Mungu akawatengenezea Adamu na muke wake nguo za ngozi, akawavalisha.