Genesis 3:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Mwenyezi-Mungu akamwita huyo mwanamume, “Uko wapi?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Bwana Mwenyezi Mungu akamwita Adamu, “Uko wapi?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana Mungu akamwita Adamu, akamwambia, Uko wapi?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Mwenyezi-Mungu akamwita huyo mwanamume, “Uko wapi?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini BWANA Mungu akamwita Adamu, “Uko wapi?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini bwana Mwenyezi Mungu akamwita Adamu, “Uko wapi?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA Mungu akamwita Adamu, akamwambia, Uko wapi?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Mwenyezi-Mungu akamwita huyo mwanamume, “Uko wapi?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwanaa Mungu akamwita Adamu akisema: Uko wapi?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA Mungu akamwita Adamu, akamwambia, Uko wapi?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Yawe Mungu akamwita yule mwanaume: “Uko wapi?”