Genesis 30:31 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Labani akamwuliza, “Nikupatie nini?” Yakobo akamjibu, “Hutanipatia chochote. Nitaendelea kuwatunza wanyama wako ikiwa utanifanyia jambo hili:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Labani akamuuliza, “Nikupe nini?” Yakobo akamjibu, “Usinipe chochote, lakini kama utanifanyia jambo hili moja, nitaendelea kuchunga na kuyaangalia makundi yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamwuliza, Nikupe nini? Yakobo akasema, Usinipe kitu; ukinifanyia neno hili, nitalisha wanyama wako tena na kuwalinda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Labani akamwuliza, “Nikupatie nini?” Yakobo akamjibu, “Hutanipatia chochote. Nitaendelea kuwatunza wanyama wako ikiwa utanifanyia jambo hili:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Labani akamwuliza, “Nikupe nini?” Yakobo akamjibu, “Usinipe cho chote lakini kama utanifanyia jambo hili moja, nitaendelea kuchunga na kuyaangalia makundi yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Labani akamuuliza, “Nikupe nini?” Yakobo akamjibu, “Usinipe chochote lakini kama utanifanyia jambo hili moja, nitaendelea kuchunga na kuyaangalia makundi yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamwuliza, Nikupe nini? Yakobo akasema, Usinipe kitu; ukinifanyia neno hili, nitalisha wanyama wako tena na kuwalinda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Labani akamwuliza, “Nikupatie nini?” Yakobo akamjibu, “Hutanipatia chochote. Nitaendelea kuwatunza wanyama wako ikiwa utanifanyia jambo hili:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye akamwuliza: Nikupe nini? Yakobo akamwambia: Usinipe cho chote! Nifanyie hili tu: acha, niwachunge tene mbuzi na kondoo wako na kuwaangalia!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamwuliza, Nikupe nini? Yakobo akasema, Usinipe kitu; ukinifanyia neno hili, nitalisha wanyama wako tena na kuwalinda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Labani akamwuliza: “Nikupatie nini?” Yakobo akamujibu: “Hautanipatia kitu chochote. Nitaendelea kuwatunza nyama wako ikiwa utanifanyia jambo hili: